Elections 2010 Msanii atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la ilala

Hii nchi kiboko! kila mtu sasa anaota kuwa mbunge,jamani tunakwenda wapi?
 
Hii nchi kiboko! kila mtu sasa anaota kuwa mbunge,jamani tunakwenda wapi?

kwani hao wabunge waliopo wamefanya nini kuonyesha wako special??madudu wanayofanya ndio yanayofanya kila "TOM AND DICK" kuhisi anafaa kuwa mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…