tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Msanii Drake atumia TSh. Bilioni 230 kununua ndege yake

Msanii wa muziki Marekani, Drake amethibitisha kumiliki ndege yake binafsi 'Air Drake' ambayo ni Model 767 yenye vyumba viwili vya kulala na logo zake zote za Ovo na Mikono yenye ishara ya maombi.
Kwenye video ya ndege hio anasikika Drake akisema 'Hakuna kukodi, Hakuna mmiliki mwenza'. Dili hili limewezeshwa na rafiki wa muda mrefu wa Drake ambaye ni Rais na Mkurugenzi mtendanji 'C.E.O' Wa Cargojet Airways Ajay Virmani.

Inadaiwa kuwa ndege hizi hutengenezwa kwa ada ya zaidi ya TSh. Bilioni 230. DJ Khaled alimpongeza Drake kwa hatua hii kwa kusema 'Hongera, nakumbuka uliniambia jambo hili miaka miwili iliyopita'.