Msanii atumia Tsh Bilioni 230 kununua ndege yake

The most pathetic thing- one can do unless you are so stashed with cash, like Bill Gates. If you dont have a billion dollar income worth then its the biggest liability.

Mimi hua nafikuri kuna watu wanakua nyuma ya mtu kama huyu na kumshauri matumizi haya ya pesa. Sababu hawa jamaa huwa wanaishiwa. Nadhani wanajua anapesa hizo na hana matumizi nazo hivyo wanazichukua kwa staili hiyo. Cheki Myweather, ile collection ya yale magari ni ya nini? Wanashauriwa makusudi watumie hela zirudi federal reserve. Anayalipia kodi kubwa kwa kuyaangalia tu kwenye parking take. Na hivi hajui kusoma vizuri wazungu watamnyoosha tu. Evander alinunuaga mjumba ka hoteli ukamshinda. Wanakuaga kama wanaugua kichaa wakipata hela
 
Hatukumuonesha Chimbo la kupata pesa hizo, mwache ajipangie matumizi ya pesa zake.
 
Drake analipwa 1000000$ per show...na kwa mwezi mmoja ana zaidi ya show 10.

Wabonvo tupunguze kujifanya tuna akili sana...
Yaani drake mpk ainunue anajua jinsi ya kui manage vyema tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…