Msanii BARAKA THE PRINCE Ajiondoa ROCKSTAR4000

Watu wa rorya na Kenya uko UA namajivuno ya kimaskini sana ambayo hayana mbele wa nyuma,..ananikumbusha Mwana dondi mmoja apa dar akiwa nje ya jukwaa anachongaa akiingia uwanjan watu wanajipigia,yule jamaa wa morogoro alijipigia sana,..awana chochote awa watu wa uko ni kelele tu
 
Majivuno na majigambo hayatamfikisha popote.... Diamond mwenyewe na ustar wake anajua sehemu gani anatakiwa ajishushe.
 
Ndio maana wanamuziki wa kitanzania ngumu kusogea. Wewe boss, wewe mfanyakazi, wewe muhasibu, wewe baunsa getini, wewe promota duu malizieni mengine. Ngumu kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu
 
Ndio maana wanamuziki wa kitanzania ngumu kusogea. Wewe boss, wewe mfanyakazi, wewe muhasibu, wewe baunsa getini, wewe promota duu malizieni mengine. Ngumu kwa kweli.
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
He was too good for them,bora kaondoka,label haina direction.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…