Msanii Barnaba unajisahau sana

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Moja ya vichwa navyo vielewaga kwenye game ya bongo sitomwacha kumtaja msanii na mtunzi Barnaba anajielewa sana ni ngumu kumkuta anapost ujinga au kuongea kwenye media kitu kitakacho wakwaza wananchi.

Kwangu naweza sema ni zaidi ya Diamond na Ali Kiba ila anajisahau sana katika kazi, hapa kati katoa nyimbo nzuri zaidi ya hizi nazozisikia inaitwa nakutunza lakini mpaka leo ajafanya video, kuna nyimbo pia inaitwa wanifaa ni nyimbo nzuri lakini mpaka leo kimya hamna video hamna promo yoyote.
 
Yupo THT kule ni kuzimu hawezi toka na kupiga PESA nyingi kama wenzie

ATACHELEWA SAAANA
 
Yupo THT kule ni kuzimu hawezi toka na kupiga PESA nyingi kama wenzie

ATACHELEWA SAAANA
Na ukishaingia kule ni ngumu kuwa succesful ukijitoa kundini, watabana mianya yako yote ya mkwanja. Mi nawashauri wasanii wenye ndoto ya kufanya vizuri kwenye muziki na kupiga mpunga wasijiingize kule, kama ni wa kutoka utatoka tu hata bila ya promo ya kipekee wanayopewa THT
 
Labda alipatwa na tatizo la kiuchumi, kwa Godfadher kunahitaji uwe umekamilika haswaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…