Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI


ni kwel kabsa data!
 
hakuna kama belle 9. hata asipopata tuzo... yeye ni jiwe lililokataliwa na waashi

kama tunawajudge kwa kigezo cha nani hajawahi kucopy basi hata Belle 9 naye wimbo wa 'Amerudi' kacopy kutoka kwa Rick Ross (cfaham jina la wimbo)
Sasa hii crown ya RnB king cjui tumpe nan?
 
kama tunawajudge kwa kigezo cha nani hajawahi kucopy basi hata Belle 9 naye wimbo wa 'Amerudi' kacopy kutoka kwa Rick Ross (cfaham jina la wimbo)
Sasa hii crown ya RnB king cjui tumpe nan?
Bell 9 hajacopy nyimbo ya amerudi ila producer wa ile bit ndo amecopy baadh ya midundo ila ben pol alichofanya ni kama walivyofanya kina TIMBULO , T.I.D kukop melody mpaka mistal kaifasiri tu kutoka kiingereza kwenda kiswahili
 
Hii kitu ni noma sana aisee... khaa... Hatakubadili badili kashindwa? Yaani amejua kutafsiri tu...!!! Slope
 

we niaje!! mbona kina linah wamecopy 'oliva twist' hukusema
Mwana FA nini ile YALAITI
Mwachen yeye kama yeye ..
ye mwenyewe alisema "ninachosikiliza ndicho ninachoimba".
Afu na nyimbo bado inaheat knoma kwnye kila media.
"JIKUBALI" huyo ndo BENPOL King wa R&B
 
Dah, kwel kaka ka copy, unajua Ben Pol hata mim namkubal sana, ila kma kateleza anaambiwa tu kwan ye Mungu bana, ukweli ni kwamba ka copy, thou jamaa ni mkali vibaya mno.
 
'ACHA KUPIGA MAYOWE' umesahau ee kwamba alikopi?:whoo:

watu huwa wanarudia nyimbo za wengine, na inakubalika. lakini huwa wana ruhusa ya mwenye wmbo, na huwa anakuwa muwazi ametoa wapi huo wimbo.
 
Ben pol.....dume la mbegu kwanza anamvuto na sauti yake ni tamu kifupi anaiuzika..haters mtakufa na nyongo kooni!
 
ni kwel kabsa data!

nimeusikiliza huo wimbo ulioleta mshikeshike mwana jamaa wakija kumuona bwana mdogo wa bongo alivyousimplify lazima wampe shavu.......kwanza wao mapichapicha mengi mara dada anazunguka mara ulingoni mara kitandani mara kumwaga matakataka ....sawa ni ujumbe lakini sisi lazima tujivunie kwanza mtu wetu katutafsilia hata kwa ambao walikuwa hawawajui the script wamewajua,ametoa somo bure kwa vijana kwamba ni lazima ujikubali....hope wengi wamepata huu upako wa ukombozi...nani anayekuja hapa kutaka kumkatisha kijana wetu?wewe revo wewe siku ingine uliza kwanza ....umempa chati tu kama hujui na ndo mana unapigwa sana kwenye stations mbalimbali!
 
Mleta thread nae ka paste thread,nothin to discuss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…