Nilitaka kushangaa pimbi kama ben pol kapata akili wapi ya kuandika nyimbo kama ile.sasa nimeamini
Hii kesi inataka kufanana na ile ya Wema, anapangishiwa nyumba na Clement (cjui alipewa, cjui alipangishiwa) afu anakuja anautangazia umma amenunua nyumba
ya Tsh. Million 400, anaita waandish wa habari na wasanii wenzake kuifungua nyumba yake ya thaman. Anapokea pongezi moto moto toka kila pande.
Hii haina tofaut na ya Ben Pol, anatoa wimbo mzuri, kila mtu anaupenda, anausifia na muukubali wimbo pamoja na mtunzi wake (Ben Pol) na tuzo watu wanampa, na sifa kedekede za mtunzi bora n.k
Km umekopy sema umekopy watu tuelewe sifa tutakupa tu wangapi tumewapa kwa kucopy huku huku mana ni uwezo nao co kila mtu anaweza kukopy, kama umepewa gari na Chief unasema tu nimepewa zawadi hatukatai ni jambo jema tu na co kutuambia nimenunua Tsh. Million 300
Uctake kupiwa sifa nyingiiiiii zote ww tu, tuambie umecopy au umepewa zawadi tukupe sifa zako unazostahili na zingine tumpe mtunzi au aliyekupa zawadi.
Kuteleza co kuanguka lkn, uwezo unao Ben Pol, watu wanasubir kazi zako, ongeza juhud km maishair ya huo wimbo yanavyosema.
Prove them wrong that u can do it yourself (to me you hv ord provet it), and that was just an accident.