FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Dah.. Habari hz n ngen kwangu. Ila asante kwa kunihabarishaYuko yeng'eng'ee sana uyu home boy,,Ila kusema ni mtunzi mzuri umekosea dingii,,Ngoma zote izo Hauzimi na Mashaalah kazichora Jay Melody,so labda useme ni mwimbaji mzuri.
Anajitahd sana bwana mdogoNimemjua kwenye mashalaah hiyo bonge la ngoma
Aina kwefere ariff,,Najua wajua na nnajua kuwa unajua lakini nimekujuza zaidi nasasa unajua.Dah.. Habari hz n ngen kwangu. Ila asante kwa kunihabarisha
Aina kwefere ariff,,Najua wajua na nnajua kuwa unajua lakini nimekujuza zaidi nasasa unajua.
Aikwereki chalianguHahahah.. Umetsha