ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Niko underground ndani ya town sina papara/ full mkoba taratibu ndani ya msafara/ usilete mkwara ipo siku nitatawala/ wakati umefika nimekita kama namadala / kenge wengine wote mi nawaona mafala/ night kisa Bongo ,Visiwani mpaka Bara/ nimekuwa kinara kila kitengo mi nang'ara/ Mc kichwa ngumu hata mbele ya mnyapara/ niko imara siongopi kufanya kafara/ nyumbani mi nimehaga kwa matambiko na sala/ sifanyi mashindano ya Ku Rap na masakara/ wenye ubongo mdogo na mawazo ya kifara/ vichwa vya panzi wasio tambua hii biashara/ wanafikiri Rap ni sawa na mduara/ ndio maana Album zao zimejaa hasara / "jay" nipe mistari "p" naomba Ala / ili niwakirishe maneno yenye busara/ moja kwa moja rhino napiga goti kwa Allah / sina papara / na wala simaindi dini uchara / wanaotupiga vita na tuwafanye tohara / ...
Black rhino - nawakirisha professor jay..
🔥👆🏼👆🏼🔥🔥
ukwaju_wa_ kitambo
0767 542 202
Black rhino - nawakirisha professor jay..
🔥👆🏼👆🏼🔥🔥
ukwaju_wa_ kitambo
0767 542 202