Msanii Chameleone anyang’anywa gari baada ya kushindwa kulipa kodi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Jose Chameleone amenyang'anywa gari yake aina ya Escalade na maofisa wa URA baada ya mamlaka hiyo kudai kwamba msanii huyo ameshindwa kulipa kodi yenye thamani ya shilingi milioni saba ya Uganda.

Muda mchache kabla ya kuanza kwa onyesho kubwa la Tubonge la msanii huyo, maofisa wa URA waliikamata gari yake hiyo ya kifahari.
Kwa mujibu wa mtandao wa Redpapper wa nchini Uganda,msanii huyo alijaribu kuwakatalia wasikuchukue gari lake akidai atakufa na mtu atakayeichukua lakini kauli hiyo haikufua dafu kwa mamlaka hiyo. "Hii ni gari yangu binafsi na nina haki yake, mtu yeyote akigusa Escalade yangu, nami tufe pamoja naye," alidai Chameleone.

Hata hivyo Chameleone alidai kuwa hana tatizo lolote kulipa kodi lakini mamlaka hiyo haikutolea vigezo walivyotumia kupata jumla ya shilingi milioni 7 za Uganda ambazo ndizo pesa wanazomdai
 
Hii hili dubwasha hapa juzi likikua uzi umu ndani URA nao si wangelifata hata home kwenye show noma sana,aya watu wenye kujua hiyo milioni 7 ya UG uki-convert kwenye pesa ya Tanganyika inakua shilingi ngapi?
 
Gari ya hatari aisee afu nashindwa kuelewa hivi muzik wa Uganda na wa Tzee wapi ambao wanalipwa vizuri kwenye show au album? Mwenye uelewa wa jambo hili.
 
Hii hili dubwasha hapa juzi likikua uzi umu ndani URA nao si wangelifata hata home kwenye show noma sana,aya watu wenye kujua hiyo milioni 7 ya UG uki-convert kwenye pesa ya Tanganyika inakua shilingi ngapi?

kwa pesa za Tz kwa rate ya sasa 1.55 hivi inakuwa 4,516,129/=
 
Eeeeeeeh sasa bwana Kinyonga kashindwa kulipa hii chapaa kweli au ana create stunt tu labda kama ilo dubwasha walimpa bure wadau kama Almasi,thnx Money Stunna kwa kunijulisha hizi rate nlijua mihela lundo.
 
Last edited by a moderator:
Hii hili dubwasha hapa juzi likikua uzi umu ndani URA nao si wangelifata hata home kwenye show noma sana,aya watu wenye kujua hiyo milioni 7 ya UG uki-convert kwenye pesa ya TZ inakua shilingi ngapi?

3.500,000/=
 
Jose Chameleone amenyang'anywa gari yake aina ya Escalade na maofisa wa URA baada ya mamlaka hiyo kudai kwamba msanii huyo ameshindwa kulipa kodi yenye thamani ya shilingi milioni saba ya Uganda.
Muda mchache kabla ya kuanza kwa onyesho kubwa la Tubonge la msanii huyo, maofisa wa URA waliikamata gari yake hiyo ya kifahari.
Kwa mujibu wa mtandao wa Redpapper wa nchini Uganda,msanii huyo alijaribu kuwakatalia wasikuchukue gari lake akidai atakufa na mtu atakayeichukua lakini kauli hiyo haikufua dafu kwa mamlaka hiyo. "Hii ni gari yangu binafsi na nina haki yake, mtu yeyote akigusa Escalade yangu, nami tufe pamoja naye," alidai Chameleone.
Hata hivyo Chameleone alidai kuwa hana tatizo lolote kulipa kodi lakini mamlaka hiyo haikutolea vigezo walivyotumia kupata jumla ya shilingi milioni 7 za Uganda ambazo ndizo pesa wanazomdai
yale yale ya Jackline wolper
 
Hii hili dubwasha hapa juzi likikua uzi umu ndani URA nao si wangelifata hata home kwenye show noma sana,aya watu wenye kujua hiyo milioni 7 ya UG uki-convert kwenye pesa ya Tanganyika inakua shilingi ngapi?

Tz ni milioni 5,200,000 ml 5 laki 2
 
Tz ni milioni 5,200,000 ml 5 laki 2

Hapa napata utata maana tunaambiwa bwana Kinyonga ni msanii tajiri inakuaje ml 5 na laki 2 iwe mpaka anyang'anywe hilo dubwasha lake la mamilioni mi ht jina naogopa nisije kukosea
 
Marekani kuna matajiri wakubwa wanafungwa jela kwa kushindwa kulipa kodi kidogo. Si kama wanashindwa ni ukaidi tu
 
Si kweli,hiyo rate yako ni ya 1990's

The current UGX/TZS exchange rate is 0.6425. (Last updated on March 31, 2014).
It means you will get TZS 0.6425 for 1 UGX or UGX 1.5564 for 1 TZS.
Please enter the amount you want to convert in any field.
The other field will show the converted amount:
Ugandan shilling (UGX) (change)
Sh Tanzanian shilling (TZS) (change)

Na hakika ukipita popote hapa Arusha hasa kwenye Bureaux de change rates ni TZS 0.40 kwa UGX 1 which means ni chin hata ya nusu. Usikubali kubishana bila kuwa na uhakika na usemacho. Ukiendelea kubisha angalia www.pesarates.com tafuta Arusha utaona tu mkuu. Tchao!!
 
Mi nakwambia ukweli rate ya sasa hivi ukichange Uganda na ukiwa boda ni 1.5 au 1.55 na ukichange bank za Tanzania au bureau utapata pesa ndogo kununua pesa ya ug utapata 1400 kwa kila 1000tzsh na kununua pesa ya Tanzania utanunua kwa 1600 kwa 1000tzsh.

Hivyo bora uchange boda au Kampala utapata 1550 kwa kila 1000 tzsh
 
Heeeee makubwaaaaa jamanii si wamiliki hata Noah tu
 
Back
Top Bottom