Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Umeionaje lakini picha yake Sheikh. Hafai?Hivi ndio nani?nimekuwa nikiona post na picha zake kwenye page ya EATV,ana kipi haswa,au ndio anatafutiwa u'staa mjini?
Alitoka na Harmorapa wata_match..ngumu kumezaUmeionaje lakini picha yake Sheikh. Hafai?
Mi nimemuelewa sheikh mtoto hajatumika sana na sura tutavumiliana tuAlitoka na Harmorapa wata_match..ngumu kumeza
Hua sipendi kuidanganya nafsiSura una tumia assumed mean unaweka ya beyonce
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huuu Uzi umekaaa kishoga shoga. Jitu linakaaa mwananyamala kwa Mama Zakariaa, muda wote linaponda wanaume wa Dar.
Wanaume wa mkoa si muache kufuatilia wanaume wa dar, daily mnaponda lakini full kuwafuatilia na kuwaanzishia thread yani mnajua kila wafanyacho kuliko wake zenu hadi mmekuwa obssesed naoMwanaume wa Ileje hapa mkoan huku
Msambwanda anautoa wapi??Chemical ana msambwanda?
Asee nilidhani chemical atakuwa na msambwanda type ya wema, kanatupigia kelele tuMsambwanda anautoa wapi??
umekurupukaDaaah Wanaume wa Dar Tenaaa!!
Ndugu wanaJF, Rapa wa Kike Chemical akihojiwa Leo na Enewz ya EATV amesikika akitamka kuwa Bikira yake pendwa alokuwa ameitunza kwa muda mrefu hatimaye imetolewa!
Cha kushangaza hasa ni pale aliposema kuwa, Ngozi hiyo Adimu imetolewa na wanaume wawili kwa mpigo yaani "Mtungo".
My Take: Inawezekana Mwanaume wa kwanza aloshindwa show alikuwa wa dar ..wazee wa kushindia chips yai na juis ya miwa! Na Mwanaume wa pili aliefanikisha hio show anaweza kuwa Mwanaume wa Mkoan anaeshindia ugal wa dona na njugu mawe!
Kwakweli ..Msanii Chemical amewaaibisha wanaume wa Dar! yaaan hata kingoz kilain kama icho wameshindwaaaa kukichomoa?! Daaah!
Wanaume wa Dar Mjitafakari Sana!