Itakuwa ni utani kama atatangulia Chid kabla ya Kiroboto. Prof angethibitishwa tu, apewe na mihadhara pale UD, si kuna fani za Sanaa pale?
Jide naye apewe tu
Kwasasa, Ndoige izingatiwe kwakweli, inatangaza nchi.
Itapendeza zaidi tukiwatunuku na wale walioweza kuipiga nchi hii barabara...
Mwisho, wadanganyika wote pia tuzingatiwe, tumedumu kwenye uzuzu kwa kipindi kisichomithilika