The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Kutoka Gazeti la MwanaHALISI la August 26, 2009
Kutoka Gazeti la Mwananchi la Sept 15, 2009
Tutaona na kusikia mengi sana yaliyojaa usanii wa hali ya juu katika safari hii ya kuelekea October, 2010 kutoka kwa viongozi mbali mbali ndani ya Chama Cha Mafisadi ili kuomba KULA (isomeke Kura) kutoka kwa Watanzania.
KAMA AMESHAUZA ARDHI YOTE UNAFIKIRI WEWE BADO HUJAUZWA??? KAMA ALITHUBUTU KUWAAMBIA WAKAZI WA KIGAMBONI KUWA MAAMUZI SERIKALI WALIYOFIKIA HAYAWEZI KUTENGULIA LABDA MUNGU AJE UNAFIKIRI KUKUUZA WEWE NDIO ATASHINDWA NDUGU YANGU!?? HIVI HII NCHI UNAFIKIRI TUNA VIONGOZI WENYE MAPENZI NA NCHI KWELI!?? KWA MFANO HUYO MHE. MWANGUNGA ANAYESEMA KUWA HAKUNA KILICHOTOKEA LOLIONDO HIVI WEWE UNAMFIKIRIAJE!??huyu hakawii kutuuza ndani ya nchi yetu, na huo uwaziri waliompa ndio kabisa tutauzwa na nyumba zetu
Mkuu una uhakika na ulichokisema kweli!?? Mimi kwa nimfahamuvyo huyu Waziri hana hizi sifa ulizompa na kama anazo basi zilishayeyuka kitambo! A man of the people hawezi kuwa na kauli kama alizowaambia wakazi wa Kigamboni, Bunju, Kunduchi na mengine wakati wa kushughulikia matatizo yao ya ardhi. He must have an alternative solution rather than those discouraging words even if anasimamia sheria za nchi na hayo wanayoita maslahi ya nchi lakini yasiyojali wananchi wenye!To the best of my personal understanding, Chiligati as a person is humble, very disdainful, and a man of people.
Kuuza nchi kwa Waarabu, Wazungu na Mafisadi wa hapa hapa nothing else mzeeiya kama ulikuwa hujuikwani JK Alipomteua hamkujua ni mjinga mwingine ameletwa katika madaraka ya CCM, BAADA MAKAMBA NA Tambwe hiza, bila kumsahau Nchimbi.
Hivi kweli hao watu wanaweza kumshauri nini rais wa Nchi?
To the best of my personal understanding, Chiligati as a person is humble, very disdainful, and a man of people. His arrogance now is a product of being coerced in a barbaric and corrupt system. I also agree with you blaming him for having accepted to work under this system, which directly translates into him also being corrupt, irresponsible, barbaric, non-caring and all that qualities of bad governance. If he is really not falling into that list of shame of Kikwete and company, he better quits, or else he stays and faces the wrath in the very near future.
Tuko pamoja na kwa nguvu zote tupige vita ufisadi na wizi wa raslimali zetu.
Chiligati anakera sana na kauli zake, sijui ni kiongozi wa aina gani?!