Huyu jamaa ni mchochezi[emoji3][emoji3][emoji3]Yaa mshkaji mama yake alisha wahi kuwa Software Engn wa MicroSoft kabla hajaamia makao makuu ya CIA Fairfax Virginia, United States, Na mama yake ni Mbulu, Darasa alizaliwa hospital inaitwa Al Garhoud Private hospital
wazee wake yaani ukoo wake kwa upande wa baba ni watu raia wa Ujerumani wao Darasa ni machotara,
Darasa ana kaka yake ni rubani wa jeshi la anga la Marekani huko kote ni kwa kupitia mgongo wa mama yake aliyeyopo CIA HQ!!
Ana mdogo wake yupo hapo California Institute of Technology
Ngoja waje wengine kumalizia nilivyo viacha!
Kwa kumalizia tu Mjomba ake ni muisrael upande wa shangazi yake mzaa bibi na bidamu yakeYaa mshkaji mama yake alisha wahi kuwa Software Engn wa MicroSoft kabla hajaamia makao makuu ya CIA Fairfax Virginia, United States, Na mama yake ni Mbulu, Darasa alizaliwa hospital inaitwa Al Garhoud Private hospital
wazee wake yaani ukoo wake kwa upande wa baba ni watu raia wa Ujerumani wao Darasa ni machotara,
Darasa ana kaka yake ni rubani wa jeshi la anga la Marekani huko kote ni kwa kupitia mgongo wa mama yake aliyeyopo CIA HQ!!
Ana mdogo wake yupo hapo California Institute of Technology
Ngoja waje wengine kumalizia nilivyo viacha!
Kama ana Ndui mkononi....kwishney.darasa anatoka mkoa gani
Kantalamba sumbawangaMji kasoro bahar
We hautauona ufalme wa mbinguniYaa mshkaji mama yake alisha wahi kuwa Software Engn wa MicroSoft kabla hajaamia makao makuu ya CIA Fairfax Virginia, United States, Na mama yake ni Mbulu, Darasa alizaliwa hospital inaitwa Al Garhoud Private hospital
wazee wake yaani ukoo wake kwa upande wa baba ni watu raia wa Ujerumani wao Darasa ni machotara,
Darasa ana kaka yake ni rubani wa jeshi la anga la Marekani huko kote ni kwa kupitia mgongo wa mama yake aliyeyopo CIA HQ!!
Ana mdogo wake yupo hapo California Institute of Technology
Ngoja waje wengine kumalizia nilivyo viacha!
We hautauona ufalme wa mbinguniYaa mshkaji mama yake alisha wahi kuwa Software Engn wa MicroSoft kabla hajaamia makao makuu ya CIA Fairfax Virginia, United States, Na mama yake ni Mbulu, Darasa alizaliwa hospital inaitwa Al Garhoud Private hospital
wazee wake yaani ukoo wake kwa upande wa baba ni watu raia wa Ujerumani wao Darasa ni machotara,
Darasa ana kaka yake ni rubani wa jeshi la anga la Marekani huko kote ni kwa kupitia mgongo wa mama yake aliyeyopo CIA HQ!!
Ana mdogo wake yupo hapo California Institute of Technology
Ngoja waje wengine kumalizia nilivyo viacha!
Chotara duuhhh huu uongo wa hatarYaa mshkaji mama yake alisha wahi kuwa Software Engn wa MicroSoft kabla hajaamia makao makuu ya CIA Fairfax Virginia, United States, Na mama yake ni Mbulu, Darasa alizaliwa hospital inaitwa Al Garhoud Private hospital
wazee wake yaani ukoo wake kwa upande wa baba ni watu raia wa Ujerumani wao Darasa ni machotara,
Darasa ana kaka yake ni rubani wa jeshi la anga la Marekani huko kote ni kwa kupitia mgongo wa mama yake aliyeyopo CIA HQ!!
Ana mdogo wake yupo hapo California Institute of Technology
Ngoja waje wengine kumalizia nilivyo viacha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wrong sms!Darassa ni mtu wa Musoma huko mkoa wa Mara
Fafanua vizur mkuuKama ana Ndui mkononi....kwishney.
hahah tulia wewe. Nyie wasanii wenu akina Man fongo, Sholo mwamba, Skide na kina Msaga sumu.Mshaanza ukabila na ukanda wenu watu wa mikoani...Darassa ni Mtanzania, Mzaliwa wa Tanzania...
Hahahha we jamaa pumba weweYaa mshkaji mama yake alisha wahi kuwa Software Engn wa MicroSoft kabla hajaamia makao makuu ya CIA Fairfax Virginia, United States, Na mama yake ni Mbulu, Darasa alizaliwa hospital inaitwa Al Garhoud Private hospital