Msanii Diamond Platnumz anunua private jet

Mbona kiba anazo mbili kitambo juzi juzi tu APA kanunua B52 na kesho kutwa anaenda kule Russia kuchukua zile sijui ndo s300
 
Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,

uzuri ndege ukijua namba uki google utaona ni ya nani na mnunuzi.hawa mabwanga wanataka kutuaminisha kanunua
 
Basi mashabiki wa Kiba watasema nae anayo ila haonyeshi...ndege atakuwa kakodi tu blaza hana uwezo wa kununua hiyo ndege kwa sasa
 
Hii festival jamaa atapigapesa ndefu sana za hawa nyan'gaus
 
Team zingine wamenuna midomo imekua kama Vyura
 
Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,
Kwani shilingi ngapi ashindwe kununua
 
Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,
Mkuu wabongo wana akili fupi sana
..wavumilie hivyo hivyo...
 
Angeandika my newbaby..hakawiagi huyu

Sio yake hiyo
 
Kama wanakwenda mpaka kenya basi atafute wasanii wenye akili wanaokubalika huko na wafanye mazoezi ya kueleweka asije akabeba hilo jopo la wavuta unga na bangi alilonalo saa kuimba hawajui wanakoroma tuu ...Sijui KONK KONKI takataka tupu
 
Jet? Hata pangaboy inaitwa jet, anyway. Ndege mpaka iitwe jet ni lazima iwe na hilo dubwana hapo kwenye picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…