Msanii Diamond Platnumz anunua private jet

Kwa hio kanunua mwaka 2018 au kanunua 2021?
Ama ana nunua na kuziuza
 
Akili za mashabiki wa D sijui huwa wanazikali wakiwa wanamuelezea boss wao
 
Jamaa anapambana kuizima nyimbo ya harmonize na awilo,wasanii wa bongo sijui kwanini awasapotiani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…