Msanii Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo nyingine ya "All Africa Music Awards"2014

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014.
Majina hayo ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu yalitangazwa J'nne hii, September 23, 2014 Protea Hotel
Leadway, Maryland Estate, Lagos, Nigeria.
Diamond ametajwa kwenye vipengele viwili,
Mafikizolo6,
Davido 6
AmrDiab (Egypt) 2,
Zahara (South Africa) 3,
Angelique Kidjo
(BeninRepublic) 2,
FallyIpupa (DRC) 1 ,
Sakordie (Ghana) 1,
Tiwa Savage, 2,
Uhuru (South Africa) 5,
Mi Casa (South Africa) 4.
Upigaji kura unatarajiwa kuanza Jumanne, Sept. 30 ambao utachukua wiki tano.Tuzo hizo zitatolewa November 9, 2014. Tofauti na tuzo zingine, wasanii wanatakiwa kuwasilisha kazi zao kwa jopo la AFRIMA ambapo kazi hiyo ilianza May 15 na kufungwa July 21.Jumla ya kazi 2,025 zilipokelewa kwauchambuzi.
Jopo la majaji wa AFRIMA ambalo linaundwa na wadau wa muziki barani Afrika, walikuwa jijini Lagos, kuanzia July 31 hadi Aug. 6 kuchambuzi kazi hizo.
Source:bongo5.com
 
Bora yule wa jana wa leo tofauti sana
we mwana wewe mwana we mwana jeuri sana.....
Leta story za maana huyu Ms...ge tumemchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…