Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
hana jipya
Ndo basi tena hawezi kutembea na viatu vya miaka kumi nyuma alafu akang'aa.keshaachwa tayari.Mmh hope atafanikiwa.
King Kong 111Dude alitisha sana na BONGO DALISALAAMA,nilikuwa naifatilia sana TBC zamani.
Aminia LONDON BOY.
Yeah king himselfAminia LONDON BOY.
Hii ya juzi niliipenda, kwa mara ya kwanza namuona Dude naye katapeliwa[emoji3][emoji3]
Hahaaaa, wanajitahidi kiukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app