Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 894
KENYA: Mahakama imemhukumu Mchekeshaji, Eric Omondi na wenzake 15 kwenda jela kwa siku 30 baada ya kuwakuta na hatia ya kufanya mikusanyiko kinyume na Sheria
Licha ya Mahakama kutoa nafasi ya kukata Rufaa pamoja na chaguo la kulipa Faini ya takriban Tsh. 25,049,995 kwa kila Mshtakiwa, Eric Omondi amesema atatumikia Kifungo hicho Jela
Akiongea baada ya Hukumu, amesema "Nimehukumiwa kwenda Jela kwa Mwezi Mmoja pamoja na hawa Vijana kwasababu tulisimama kutetea Hali Ngumu za Wananchi na Gharama Kubwa za Maisha. Nitakaa Jela lakini naamini Kesho itakuwa Bora zaidi"
Soma Eric Omondi afungwa Jela kwa Kuandamana dhidi ya Serikali ya Ruto
#JamiiForums #SocialJustice #Democracy #Governance #DemocracyDay2023