Msanii FEROUZ amekamatwa na bangi

Ikiwa amekatwa na gunia, nitaamini. Ikiwa kama ni msokoto inawezekana amewekewa ili kumharibia.
Wasanii wanaotumia wadawa ya kulevya (bangi) ni wengi mnoooo.
 


Wengi leo wapo chali na walivuma ile kinoma...
jirushe kiakili kabla line light yako haijazima...

Jay Moe
 
Rockefeller laws mpaka bongo?

Where is Russell Simmons when you need him?
 
Hawa mapolice wa bongo ovyo kabisa !! Mtu anatumie mewnyewe kwanini anakamatwa? pole FerooouzZZ!!!!
 
habari ya kimbea hata picha fake huna ili utuconvice umbea wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…