Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Jamani yuko wapi Dataz?!

Long time, kitambo, Mdada huyu aliye-hit sana enzi zake kwa Bongo Flavor hasikiki/haonekani.

We miss you Dataz!

Florence+Kassela.jpg
 
"Eyo nyamaazaa shiko si mikosii" hii ngoma naikubali na kaka ake squeezer kapotea kweli. btw nimewamiss na Park Lane wazee wa - Nafasi nyingine na wale waloimba "tanzania wote taifa la bongo kwenye hard time tunamek bingo"
 
Kawimbo kamenikumbusha mbali sasa hivi muunganiko kama huu sijui unaupata wapi?
 
Back
Top Bottom