ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Tunaendelea..
Msanii G - solo : Nilikuwa katika Album Yao " Gangster with Matatizo " G.w.m" inaitwa " Mikosi"
Album ambayo ilikuwa ina nyimbo kama vile.
Side.. A.
1. Yamenikuta
Featuring – Mr II
2. Bwana Kidevu
Featuring – G Solo (2) & Mc Steav
3. Mguu Nje
Featuring – Dolla Soul
4. Kipe Kitu
5. Mguu Nje Instru.
Side B..
1. Mikosi
Featuring – Dre'z
2 . Mwenye Nyumba
Featuring – Dre'z
3. Machizi Wangu
Featuring – Sloughter
4. Autro
5. Machizi Wangu Instru.
Ukwaju wa kitambo : je? Unaweza kunieleza harakati zako katika movement za " Ant Virus Ama vinega juu ya kukemea / kupinga unyonyaji wa haki na kazi za wasanii , unyonyaji ambao ulikuwa unafanywa na Baahi ya wadau hapa nchini Tanzania, wewe ulikuwa katika upande upi? Katika movement hizo. Ambazo " joseph mbilinyi " mr 2" alionekana kuwa front line kama kiongozi mkuu wa movement hizo.
Na beef ya vinega / Ant Virus na media ya Clouds fm Radio kipindi marehemu " Ruge mutahaba " ambae alikuwa ni Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi wa Clouds Media Group Bado Enzi za Uhai wake.
Msanii G - solo : cha kwanza napenda nikurekebishe " joseph mbilinyi a.k.a Mr 2 " alikuwa sio kiongozi katika movement hizo , hapo napenda nikuweke sawa wewe pamoja na wadau wengine ambao wana Amini ama wanatambua hivyo kuwa " joseph mbilinyi a.k.a 2 proud alikuwa ndio kiongozi mkuu wa movement hizo za Ant Virus ama vinega..
Project ya Ant Virus ama vinega imeanzishwa na sisi wasanii watatu (3) mimi Msanii G - solo , K wa mapacha & " mkoloni kutoka Crew ya "wagosi wa kaya" sisi ndio tulikuwa ma founder wa hiyo movement halafu,
Lakini ndugu yetu mr " joseph mbilinyi " aliipenda movement hiyo na kuamua kujiunga na sisi , tulipoanza kurekodi Ant Virus mixtape vol...1 ndio Mr 2 nae akapenda kujiunga na sisi Tangu siku hiyo nadhani nae Mr 2 akawa a part of members wa Ant Virus/ Vinega.
Kwa upande mwingine na mimi pia nilishiriki katika kuimba zile nyimbo zilizopo katika mixtape vol..1 , kwenye uandaji wa mashairi, uchangiaji wa mawazo wakati wa kurekodi na mimi nilikuwepo kwa hiyo na mimi niliplay party kubwa sana katika uandaji wa mixtape ile..
Ukwaju wa kitambo: je? Ni kwani / ilisemekana movement hiyo ilishirikisha wasanii wengi sana , ambao kwa namna moja ama nyingine nao ushiriki wao ulikuwepo katika movement hizo za Ant virus/ vinega lakini hawakupenda kuonekana ama kufahamika na jamii kwamba pia na wao ni sehemu ya movement hizo.
Maana wadau & mashabiki bila kusahau wafuatiliaji wa Muziki kwa ujumla , waliweza kuwatambua wasanii wachache tu ambao walikuwa wanasikika katika zile ngoma .
Mfano kama vile..
Danny msimamo, k wa mapacha, mkoloni , Hard mad & Mr sugu.
Je? Hao wengine mbona hawakutaka kusikaka
Msanii G - solo : Actually Ant Virus ilikuwa tu sio kwenye upande wa kuimba lakini pia hata kujitolea baadhi ya vitu ama ushauri ili kukamilisha vitu baadhi kwenye harakati hizo za Ant virus..
Kwa mfano mimi lycris zangu katika Ant Virus Mixtape vol...1 nilizungumza yote yale ambayo yalikuwa yananikwaza mimi .
Lakini kwenye Ant Virus mixtape Vol..2 ilianza kudevelop na wasanii wengi walihitaji kujiunga na sisi tukawa tumefungua mlango na kuwapa nafasi ili nao waweze kujumuika na sisi katika harakati hizo kwakuwa kilio chetu ama changamo zetu tulizozipata hadi kufikia uamuzi wa kuanzisha harakati hizo almost 75% ya wasanii wa Hapa Bongo walikuwa ni wahanga wa unyonyaji huo.
Itaendelea...
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202