Msanii gani kufunika fiesta 2018?

FIESTA bila nyimbo bora ya mwaka KWANGWARU !!!!....

hapo clouds wamebugi haiwezekani tusikilize nyimbo za WCB halafu mkatuonyeshe kina bill.nas..... hell no
Kabisa yaani Mimi YouTube muda mwingi naangalis nyimbo za WCB halafu show wasiwepo haiingii akilini hata kidogo.
 
Sasa uo ni wimbo? sample ya KWANGWARU na ambavyo atuwapendi wasanii wakike hapo ndo atajua kusoma na kuandika.
 
Fact kabisa
 
Hawapo ila Tanzania hii kuna wasanii wengi kushinda hao WCB naamini itafanya vzr...japo Mimi sitahudhuria kulingana na umri wangu kwa sasa!!!ila wapo!!!
Kama mwaka Jana ilidolora na beef ilikuwa ndo inaanza,mwaka huu ndo beef liko on fleak ko fiesta imepotea basi.
 
Wapo but wanaoingia hawatakuepo wengi kulinganisha na zamani ko lazima ipoe tuu,time will tell itakuwa Zaidi hata ya mwaka Jana.
 
Fact wacha waisome namba weee,si wameitaka wenyewe
 
Huyu mtoto wa tandale sijui wanamuitaga nani.. nae atakuwepo??
 
Kwakweli uoga wa wasanii umepungua, Diamond alisema mwanzoni wasanii walikuwa wanaogopa hata kufanya jingle ya WASAFI TV, ila kwa sasa wanajipeleka wenyewe kuomba interview na kutambulisha wimbo. CMG haiwezi kufa leo wala kesho but ukweli ni kwamba ule utabe wao na uMungu mtu umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na kusimama WCB na uwepo wa social medias. Mgogoro wa hizi pande mbili unaathari kubwa zaidi kwa CMG kuliko WCB, tumeona wasanii wote wa WCB (excluding Mavoko na Queen Darleen) wameweza kufanya vizuri sana mwakahuu kiasi kwamba wameweza kudominate kwenye social medias hadi mtaani. Mimi ni muhudhuriaji mzuri sana wa harusi na Club, huko kote nyimbo za WCB zinachukua nafasi kubwa sana. Yaani unaweza fikiri Tanzania ina wasanii kutoka WCB tu. Huwa najaribu kupitia trendings za nchi kama Kenya, utakuta zimejaa nyimbo/habari za WCB, ni nadra kukuta za msanii mwingine kutoka bongo. Jamaa wametengeneza brand kubwa, wataendelea kuwapa tabu sana CMG
 
Mkuu weka akiba ya maneno!
Mpaka pale utakapoona hiyo wasafi festival itawalipa hao wasanii pesa ndefu!!
 
Fiesta ipo katika kipindi chake cha mwisho mwisho inabidi kiingilio kiwe buku buku tu watu wajae,lakini ndo kujifunza taasisi si vyema kujiingiza ktk mabifu yasiyo na tija maana nyakati zimebadilika sasa ule muda wa utemi umeshapitwa na wakati,sasa ni ulimwengu wa technology watu wengi wanatumia njia mbadala kujitangaza na kuifikia jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…