wanaona hata aibu kupost kwenye page zao huko IGMliokuwa Moro jana tunaomba mrejesho
Wewe kinachokusumbua ni mapenzi yako kwa hao WCB...Kiuhalisia sa hivi wasanii hawapo wengi kama zamani, ukitoa WCB na baadhi wanaojitambua waliobaki ni kina Gigy Money na Amber Lulu
Na hii inatufundisha kwamba mnyime mtoto hela ila usimnyime akili...Kwakweli uoga wa wasanii umepungua, Diamond alisema mwanzoni wasanii walikuwa wanaogopa hata kufanya jingle ya WASAFI TV, ila kwa sasa wanajipeleka wenyewe kuomba interview na kutambulisha wimbo. CMG haiwezi kufa leo wala kesho but ukweli ni kwamba ule utabe wao na uMungu mtu umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na kusimama WCB na uwepo wa social medias. Mgogoro wa hizi pande mbili unaathari kubwa zaidi kwa CMG kuliko WCB, tumeona wasanii wote wa WCB (excluding Mavoko na Queen Darleen) wameweza kufanya vizuri sana mwakahuu kiasi kwamba wameweza kudominate kwenye social medias hadi mtaani. Mimi ni muhudhuriaji mzuri sana wa harusi na Club, huko kote nyimbo za WCB zinachukua nafasi kubwa sana. Yaani unaweza fikiri Tanzania ina wasanii kutoka WCB tu. Huwa najaribu kupitia trendings za nchi kama Kenya, utakuta zimejaa nyimbo/habari za WCB, ni nadra kukuta za msanii mwingine kutoka bongo. Jamaa wametengeneza brand kubwa, wataendelea kuwapa tabu sana CMG
CMG bado wana nguvu hasa upande wa wasanii. Wasanii wengi bado hatima yao imeshikwa na CMG. Hapa tz ni wasanii wachache sana ambao wapo independent pasipo kuhitaji mbeleko ya CMG. Hivi leo hii zikitangazwa show mbili siku moja huku CMG huku WCB halafu kote Maua Sama anahitajika, unadhani ataenda wapi? WCB walichofanikiwa ni kutengeneza himaya yao ila ni wao peke yao wanaoweza kulindwa na himaya hiyo, wasanii wote Walio nje ya WCB hatima yao haiwezi kulindwa na WCB.
Halafu CMG wanaujua huu mchezo, tokea 2011 wanafanya hizi mambo, ramani zote wanazo kiganjani, WCB wasijaribu kupimana msuli na CMG itawacost. Msanii yeyote atakaye ungana na WCB katika hii vita ajue tu kuna maisha baada ya huu upepo kutulia!
Huo ndio mtazamo wangu
kilichofanyika Moro ni udhibitisho tu kuiwa CMG wataendelea kuwepo sana. Sijui Tanzania tuna tatuzo gani huwa hatuaminmi katika uwepo wa mafahari wengi, tunadhani kuwa ili mmoja afike at the top ni lazima mwingine aaanguke. sio lazima iwe hivyo. Sawa hata tukiwatoa CMG ni nani aliyedhibitisha kuwa na nguvu ya kuendesha matamasha kama walivyo CMG? Hao WCB wamefanya matamasha mangapi hadi sasa ambayo yanaonyesha uzoefu wao katika hilo? CMG bado wapo strong tena leo wapo fiti kuliko janamambo yamebadilika endeleeni kuwa wabishi, kilichotokea moro jana ni mwanzo tu... kila umungu mtu una mwisho wake jifunzeni kama ni wakujifunza
"Tanzania tuna tatuzo gani huwa hatuaminmi katika uwepo wa mafahari wengi, tunadhani kuwa ili mmoja afike at the top ni lazima mwingine aaanguke. sio lazima iwe hivyo"kilichofanyika Moro ni udhibitisho tu kuiwa CMG wataendelea kuwepo sana. Sijui Tanzania tuna tatuzo gani huwa hatuaminmi katika uwepo wa mafahari wengi, tunadhani kuwa ili mmoja afike at the top ni lazima mwingine aaanguke. sio lazima iwe hivyo. Sawa hata tukiwatoa CMG ni nani aliyedhibitisha kuwa na nguvu ya kuendesha matamasha kama walivyo CMG? Hao WCB wamefanya matamasha mangapi hadi sasa ambayo yanaonyesha uzoefu wao katika hilo? CMG bado wapo strong tena leo wapo fiti kuliko jana
kilichofanyika Moro ni udhibitisho tu kuiwa CMG wataendelea kuwepo sana. Sijui Tanzania tuna tatuzo gani huwa hatuaminmi katika uwepo wa mafahari wengi, tunadhani kuwa ili mmoja afike at the top ni lazima mwingine aaanguke. sio lazima iwe hivyo. Sawa hata tukiwatoa CMG ni nani aliyedhibitisha kuwa na nguvu ya kuendesha matamasha kama walivyo CMG? Hao WCB wamefanya matamasha mangapi hadi sasa ambayo yanaonyesha uzoefu wao katika hilo? CMG bado wapo strong tena leo wapo fiti kuliko jana
Nyomi lilikuwa kama lote, ukibisha leta ushahidi wa picha tena iliyopigwa verticalEtiiii kwamba hiyo aibu ya moro ndio wameimalika zaidi ya jana? mkuu una roho ngumu sana. Tigo mwakani trend ikienda hivi sidhani kama watamwaga pesa zao kizembe, kweli malipo ni hapa hapa duniani.
Nyomi lilikuwa kama lote, ukibisha leta ushahidi wa picha tena iliyopigwa vertical