sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Tumeshaelewa una umri gani mkuu, inatoshaMie nakutana sana na mchekeshaji Mkwere ninajenga Kimara (nyumba ya kupangisha) jirani na kwake. Uwa tunapiga sana story . Prof. J pia mshikaji tunaongea nae, Afande Sele mwanangu mno na kuna msanii mmoja wa kike maarufu nilishapita nae kinyumba enzi zangu
Mtaje basi hata kama ni Asha Boko[emoji1]Mie nakutana sana na mchekeshaji Mkwere ninajenga Kimara (nyumba ya kupangisha) jirani na kwake. Uwa tunapiga sana story . Prof. J pia mshikaji tunaongea nae, Afande Sele mwanangu mno na kuna msanii mmoja wa kike maarufu nilishapita nae kinyumba enzi zangu
Vp mkui kwa uzoefi wako unaweza kuhalalisja au kubatilisha ile kauli ya wasanoi kwamna mapromota wanawanyonya sanaWasanii wengi Wana maisha Fulani wamezoeshwa ya kupewa Offa Offa
So kama mtu mbahili utajikuta unawakwepa sana kama unfahamiana nao..
Zamani
Nilikuwa nataka kuwa promota WA mziki na filam
Nikawa nna watu wananitafutia wasanii nijaribu kuongea nao dah..
Unaweza tumia hela Kwa kuongea nao tu
Msanii yoyote wa Tz ukisema Tu we ni promota mnataka kuongea biashara
Anakuja mwenyewe...
Labda hawa WCB these days ndo Wana utamaduni wa meneja na wachache wengine
Wasanii wengi Wana tamaa na hawana discpiline ya pesaVp mkui kwa uzoefi wako unaweza kuhalalisja au kubatilisha ile kauli ya wasanoi kwamna mapromota wanawanyonya sana