Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu?

Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake zimekuwa gumzo na kuhit kwenye majukwaa ya kimataifa? Au ni msanii wa filamu ambaye ameng'ara na filamu zake kuvunja rekodi ya mauzo na kushinda tuzo kubwa?

Ni msanii gani ameacha alama kubwa zaidi kwa mwaka 2024?

Taja baadhi ya wasanii unaowaona wanafaa kupewa heshima hii unaweza kuelezea kwa nini.
 
Back
Top Bottom