Msanii H. Baba na Tuzo za familia, huku ni kuchanganyikiwa?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi..

Wana jamvi ni wazi Duniani kuna vituko vingi lakini kwenye hivi vituko hatuwezi kuisahau tanzania kabisa! Lakini hivi karibuni msanii wa kizazi kipya H.baba baada ya kukosa Tunzo za KTMA hasa pale alipopambambanishwa na Diamond na kukosa Tunzo! Msanii H.Baba alisema wazi kabisa Diamond hakustahili bali yeye ndio alistahili hivyo akaona bora ajitoe kabisa na akasema hata kusikia kabisa hizo Tunzo!

Hivi karibuni Msanii H.baba aliibika na kituko cha aina yake ninachokifananisha na mtu ambaye aliyejitungia mtihani wa hesabu na kuusolve mwenyewe halafu anajisahishia kisa anajipongeza!

Msanii H.baba hivi karibuni aliibuka na Tunzo zake alizo ziita 'Tunzo za familia'. Katika hizo tunzo msanii H.baba alijipa yeye tunzo, mke wake na mtoto wake! Kwenye hizo tunzo aliwaalika wageni wa kutoa tunzo ili waikabidhi familia yake pamoja na yeye!

Kitendo chake hiki kilichukuliwa na wengi ni kuchanganyikiwa baada ya kukosa Tunzo za Kill!

Karibuni wana jamvi!

Karibuni! H baba na familia yake wakikabidhiwa tunzo.
 
Attachments

  • 1430913101365.jpg
    23.4 KB · Views: 1,608
  • 1430913129775.jpg
    32.8 KB · Views: 1,555
  • 1430913198581.jpg
    3.7 KB · Views: 2,551
  • 1430913217871.jpg
    5 KB · Views: 2,551
  • 1430913240650.jpg
    5.8 KB · Views: 2,540
Huyu jamaa huwa nasikia ni mwanamziki, lakini sijawahi kusikia hata wimbo wake mmoja...

Jamaa ni mshamba kupindukia,....nafikiri ana undugu na Shigongo maana anambeba sana lakini jamaa habebeki kabisa....???
 
tafuta nyimbo zake anakata mauno huyo hatari
sijui na kitandani huwa anakatika hivyo hivyo
 
tafuta nyimbo zake anakata mauno huyo hatari
sijui na kitandani huwa anakatika hivyo hivyo

Nyimbo nzuri huwa hazitafutwi, huwa zinajiuza zenyewe kwa audience....mbaya zaidi sipendi kuangalia mwanaume mwenzangu akiwa anakata mauno...

Kuna cku nilimsikia Ali Kiba anasema huwa anavaa nguo za kubana ili akicheza kiuno chake kionekane vizuri:sly

Ndipo kizazi chetu kilipofikia...
 
haaaaaaaaa wengine ndio starehe kuviona hivyo viuno

Ali K si unaona kwenye video ya mwana anavyozungusha Kiuno chake

mie naukumbuka wimbo wa "mpenzi wangu bubu" ulivumaga sana kitambo hiko
 
haaaaaaaaa wengine ndio starehe kuviona hivyo viuno

Ali K si unaona kwenye video ya mwana anavyozungusha Kiuno chake

mie naukumbuka wimbo wa "mpenzi wangu bubu" ulivumaga
Yule mziki anautaka, bahati mbaya wenyewe haumtaki kabisa!
 
Teh Teh hiyo statement ya Ali k imeniacha hoi sana.
 
Huyu jamaa huwa nasikia ni mwanamziki, lakini sijawahi kusikia hata wimbo wake mmoja...

Jamaa ni mshamba kupindukia,....nafikiri ana undugu na Shigongo maana anambeba sana lakini jamaa habebeki kabisa....???

Teh Teh yeye na shigongo ni ndugu kutoka usukumani na mo music..
 
Huyu jamaa enzi zile alikuja kwa mbwembwe kwa nia ya kukalia kiti cha Mr. Nice but akafeli. Halafu kuna kitu hakijui, anazan kukatika sana jukwaani ndo kuwa mtumbuizaji bora, kuwa performer mzuri sio kukatika tu. Chris Brown hakatiki lakini kwa upande wangu naona hakuna anayemkamata kwa kutawala jukwaa after Michael Jackson
 
Jamaa anacho jua ni kukatika tuuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…