Msanii Hammer Q yupo wapi siku hizi?

Msanii Hammer Q yupo wapi siku hizi?

Mkweche II

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
4,160
Reaction score
5,793
Kwema wakuu?

Naulizi msanii hapo juu yupo wapi siku hizi maana sijamsikia kitambo?

Mwenye taarifa zake aweke hapa.
 
[emoji444]Hapo mwanzo nilidhani mi unanipendaa lady, ukikaa na wenzakoo unanisemaa kwaninii....sikudhani kama moyo wangu ungeutenda lady, penzi langu kurudia kwako sitowezaa kabisaa[emoji445]
Dah hii ngoma nliipendaga sana

Hammer - Q

Kuna kipind nliskia aliacha Music
 
Hii aliimba Bi Kidude(RIP) ukarudiwa na Lady Jay Dee
Nilikosea kuandika nilimanisha Pembe la ng'ombe

kifupi: Muhogo wa jang'ombe uliimbwa na Siti Binti Saad.

Akaiga: Bi Kidude

Akaiga: Lady Jay Dee
 
Back
Top Bottom