Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
bila shaka ni yeyeHuyu jamaa aliimba muogo wa jang'ombe au sio huyu?
Nimekosea nimegoogle hap aliimba Pembe la ng'ombebila shaka ni yeye
Kwema wakuu?
Naulizi msanii hapo juu yupo wapi siku hizi maana sijamsikia kitambo?
Mwenye taarifa zake aweke hapa.
Dah hii ngoma nliipendaga sana[emoji444]Hapo mwanzo nilidhani mi unanipendaa lady, ukikaa na wenzakoo unanisemaa kwaninii....sikudhani kama moyo wangu ungeutenda lady, penzi langu kurudia kwako sitowezaa kabisaa[emoji445]
Nilikosea kuandika nilimanisha Pembe la ng'ombeHii aliimba Bi Kidude(RIP) ukarudiwa na Lady Jay Dee