Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Jumatano hii majira ya saa 8:30 asubuhi ameripoti Polisi Central jijini Dar es salaam kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya.
Muimbaji huyo ameitikia wito wa RC Makonda, ambapo alimtaka akifika nchini achunguzwe kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi baada ya kuonekana akivuta kitu chenye moshi mkubwa kinachodaiwa kuwa ni bangi