Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
akijibu nitagiAmepeleka mkojo??
Huyu Harmonize anatakiwa awe na wakili wa kumshauri kuwa hiyo amri iliyotolewa na Bashite ni batili na hakuna jinai yoyote aliyofanya na wala hapaswi kukubali kupimwa chochote kwasababu hakuna sheria inayoagiza ujinga huo wanaomfanyia kuchafua brandy name yake.Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Jumatano hii majira ya saa 8:30 asubuhi ameripoti Polisi Central jijini Dar es salaam kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya.
Muimbaji huyo ameitikia wito wa RC Makonda, ambapo alimtaka akifika nchini achunguzwe kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi baada ya kuonekana akivuta kitu chenye moshi mkubwa kinachodaiwa kuwa ni bangi
Huyu mkuu wa mkoa anatafuta kiki tu..kazi za kufanya hana..
Yani dah konewa sana..Huyu Harmonize anatakiwa awe na wakili wa kumshauri kuwa hiyo amri iliyotolewa na Bashite ni batili na hakuna jinai yoyote aliyofanya na wala hapaswi kukubali kupimwa chochote kwasababu hakuna sheria inayoagiza ujinga huo wanaomfanyia kuchafua brandy name yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wetu hawana kazi za kufanya? what is this nonsense?Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Jumatano hii majira ya saa 8:30 asubuhi ameripoti Polisi Central jijini Dar es salaam kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya.
Muimbaji huyo ameitikia wito wa RC Makonda, ambapo alimtaka akifika nchini achunguzwe kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi baada ya kuonekana akivuta kitu chenye moshi mkubwa kinachodaiwa kuwa ni bangi
Gerry ni mwanasheria wao..sijui anafanya nini yule dogoHuyu Harmonize anatakiwa awe na wakili wa kumshauri kuwa hiyo amri iliyotolewa na Bashite ni batili na hakuna jinai yoyote aliyofanya na wala hapaswi kukubali kupimwa chochote kwasababu hakuna sheria inayoagiza ujinga huo wanaomfanyia kuchafua brandy name yake.
Sent using Jamii Forums mobile app