Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

" Kilichonishangaza zaidi baada ya utafiti kumbe ndiye muuza unga, kwa wale mateja wa Chamazi. Anashinda kwenye jumba bovu hapo jirani na mateja humzunguka kwa ajili ya huduma."
 
"mtu mbeya huwa anasema kweli ila tu husema sehemu zisizostahili" mwanaume kumsengenya mwanaume mwenzake ni dalili za uoga na UKAOGE
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"mtu mbeya huwa anasema kweli ila tu husema sehemu zisizostahili" mwanaume kumsengenya mwanaume mwenzake ni dalili za uoga na UKAOGE
Watanzania tutaacha lini tabia kama za huyu bwabwa. Yaani mtu anauza unga vijiweni alafu ni msanii wasimuanike eti umbea!! Nyie ndio mnakaa na majambazi mnashindwa kuwanika au kutoa taarifa sehemu husika. Kwa hiyo waandishi wa habari wote wambea sio, maana wao ndio wanajadili maisha ya watu kila Siku. Acha Ujinga bwana mdogo
 
"mtu mbeya huwa anasema kweli ila tu husema sehemu zisizostahili" mwanaume kumsengenya mwanaume mwenzake ni dalili za uoga na UKAOGE
Hapa sio kumsengenya, amemsema wazi na kwa kumtaja jina lake. Wanaomfahamu wamfikishie habari, najua unaumia sana huenda na wewe ni walewalemnaojifanya matawi kumbe mko chini hata shina haliwatambui. Koma na ukomae!

Eti limtu linamiliki simu ya gharama kubwa lakini hata kijiko halina, linatumia vijiko vya wazazi wake! Koma
 
fuata maisha yako kaka, kwani asipokuwa na kijiko si maisha yake , wewe yanakuhusu nn??

Watanzania jitaidini kufata ya kwenu yasiyo wahusu yapotezeeni
 
punga katika ubora wake
 
alaf ni aibu kubwa kwa mwanaume rijal kutumia neno KOMA
 
Mbona balaa, ndio maana Mimi naogopa sana ustaa sana, lazima uishi maisha yasiyo yako. Hata kama gari huna utajitaidi uazime, ili uonekane. Maisha ya usanii bila Pesa magumu sana. Usanii gharama, ila asikate tamaa bado anayo nafasi ya kujaribu tena.
 
Mkuu usiangaike sana kumlaumu,huyo ni maana msanii anaishi maisha ya kisanii kwa hyo sio issue,wasanii wote ni wasanii
BTW huyo wa picha ya juu kabisa ndio mke wake???
 
Mkuu usiangaike sana kumlaumu,huyo ni maana msanii anaishi maisha ya kisanii kwa hyo sio issue,wasanii wote ni wasanii
BTW huyo wa picha ya juu kabisa ndio mke wake???
Nahisi atakuwa mke wake enzi hizo, jamani huyu kaka anaigiza vizuri sana na napenda kufuatilia movie zake lkn Sijui wanakosea wapi! Mpaka unafikia hatua ya kuishi na wazazi kwa umri huo hapana jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…