Msanii huyu yuko wapi?

Msanii huyu yuko wapi?

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
Kwa wale wapenzi wa muvi za kinaijeria za zamani bila shaka mtakua mnamkumbuka huyu muigizaji. Nilipenda sana filamu aliyocheza inaitwa IZAGA.

Sijui yuko wapi mwenye taarifa zaidi anijuze kwa faida ya wengi please atuwekee hapa.

benson_liz3.jpg
 
Alipenda kuigiza na akina Saint Obi,nae sijui atakua wapi huyu jamaa

Yupo na yeye though nafikiri amepumzika acting siku hizi. I heard, he is now running his own production company

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitambo sana hawa watu hadi nimewamiss kiukweli
 
Back
Top Bottom