kumbe ni mama mchungaji siku hizi? Hongera zake
Alipenda kuigiza na akina Saint Obi,nae sijui atakua wapi huyu jamaa
Anaitwa Liz Benson. Aliacha kuigiza after kuolewa na Bishop Great Ameye
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kumbee...?!!!
namkubali sana huyu mama asa hv umri pia utakua mkubwa