johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna kila dalili kuwa yule mchekeshaji nguli Idris Sultan leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu
Tetesi hizo zimesikika katika viunga vya Central ambapo watu wa karibu wa Idris wamejichimbia kufualia " yajayo" au kifuatacho kama wanavyopenda kusema watangazaji wa luningani.
Tutajuzana zaidi
Demokrasia ina gharama zake
Maendeleo hayana vyama!