johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha wamnyooshe tu amezidi kupenda sifa za kujipendekeza.Huyu ngoja wamnyooshe kwanza..
Hujambo docta?Amekuwa mtu wa kuropoka na kukejeli uongozi wa awamu hii mara nyingi. Ngoja wamuenyeshe kidogo atie adabu