Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
huyu naye analia lia nini?
Ndo uyouyo kafilisika kisera tulimtumia afu tukamtupaHuyo wa goli la mkono si ndiye yule Nape Nnauye mlimtolea nje kwa bastola hadi akaenda kulialia, siasa bana, yeye alijitakia makuu baada ya kutaka kupambana na wadau wa Kolominje akaishia kupoteza uwaziri.
Hilo neno aliibuka nalo Nyerere na lilitokana na lugha ya Wazanaki. Pili kila binadamu ana tabia za kinyama maana sote wanyama.
Halafu vipi nyie mnaotafuna albino mna jina lipi.
Haya ngoja tuone 2020 atatumika nani?Ndo uyouyo kafilisika kisera tulimtumia afu tukamtupa
Haya ngoja tuone 2020 atatumika nani?
pengine alifikiri siasa ni mambo rahis rahis....hajui hawa vigogo ni wataalamu wa siasa...maybe he thinks ppl play clean politics.....politics is a dirty game...huezi kuja na koti nyeupeHii ni aibu kubwa sana , mje Tanzania tuwaonyeshe njia jinsi vijana tunavyofanya siasa na kuwashinda "vigogo"
Mjue mwanamuziki Jaguar
pengine alifikiri siasa ni mambo rahis rahis....hajui hawa vigogo ni wataalamu wa siasa...maybe he thinks ppl play clean politics.....politics is a dirty game...huezi kuja na koti nyeupe
MK254 nikuulize swali? Mbona huyu Jimnah anataka kuvaa sare za nadharia siku zote maishani mwake, kwa nini asijaribu njia ya umaarufu pia, maanake siasa ni umaarufu. Kwani anadhani hizo suti za bei ndio itamfanya nini? Achafuke naye kiasi, ama unaonaje?Kipindi nikiwa kijana, huyu Maina Kamanda aliwahi sababisha nibebe jiwe mjini Nairobi nikiwa na nia ya kumpiga nalo. Alicheza huu uhuni dhidi ya Jimnah Mbaru. Yaani back then we campaigned so hard for Jimnah till he got nomination certificate. But it emerged later he was given a fake one and Maina got the original through back door.
It's a game that Kamanda has practiced for a long time.
MK254 nikuulize swali? Mbona huyu Jimnah anataka kuvaa sare za nadharia siku zote maishani mwake, kwa nini asijaribu njia ya umaarufu pia, maanake siasa ni umaarufu. Kwani anadhani hizo suti za bei ndio itamfanya nini? Achafuke naye kiasi, ama unaonaje?
MK254,
Bandiko lako # 30 hapo juu ni simulizi bora matata; hatari na hali halisi juu ya michezo michafu ya kisiasa inayo mhusu Maina Kamanda na hati feki kwa mpinzani wake Jimnah Mbaru.
Jimnah Mbaru naona ndiyo hulka yake maana hata ktk mbio za ugavana kipindi kilichopita wakishindana na Gavana Kidero alikuwa na "muonekano" wa "CEO and Chairman wa Chase Manhattan Bank ya New York" wakati Nairobi kuna shida "mingi".MK254 nikuulize swali? Mbona huyu Jimnah anataka kuvaa sare za nadharia siku zote maishani mwake, kwa nini asijaribu njia ya umaarufu pia, maanake siasa ni umaarufu. Kwani anadhani hizo suti za bei ndio itamfanya nini? Achafuke naye kiasi, ama unaonaje?
hahaha, jecha hii section ni fundi sanaAngesema mapema tumuazime mzee wa goli la mkono ila kwa kuwa matokeo yashatoka itabidi tumuazime mzee wa kubadili matokeo.
WATANZANIA TUNGEKUWA KAMA WAKENYA ADABU INGEPATIKANA NA MAENDELEO YANGEKUWA CHAP CHAP.
CCM WANAIPOKONYA CUF URAIS ZANZBAR WATU WANAANGALIA TU.
KENYA WANAKWENDA NA WEWE KUZIMU.
Jimnah Mbaru naona ndiyo hulka yake maana hata ktk mbio za ugavana kipindi kilichopita wakishindana na Gavana Kidero alikuwa na "muonekano" wa "CEO and Chairman wa Chase Manhattan Bank ya New York" wakati Nairobi kuna shida "mingi".