Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Kazi na dawa! Ubalozi wa Tanzania Nchini Comoro umekuwa na wakati mzuri na msaanii Jay Melody ambaye ametumbuiza kwa onesho kabambe mwishoni mwa wiki kufuatia mualiko toka Taasisi za Sanaa Comoro. Mwanamuziki huyo ameweza kuvuta hisia za wacomoro wenyewe, Raia wa Tanzania na pia wa Madagascar tangu alipofika. Pichani ni mashabiki wakiselebuka alipotumbuiza