PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Bachelor? Masters? Au PhD? Au diploma? Au certificate,?? Mkuu type jibu
Hongera zake kijana.
Mbona sijamuona Vanessa Mdee akimuunga mkono ?
hata mimi nasubiri hilo jibu kwa lisaa sasa.Alikuwa anasomea nini miaka 9? au alikuwa ana rudia rudia?