Halafu hiyo caption naona kaandikiwa na Vanessa .
Hehehehe kwani hand writing inafanana na ya Vanessa? Mmmh we noma...
sasa siyo mwakani tena anatuonyesha picha hii hii....ajitahidi mwakani awe amekamilisha kila kitu......
sasa siyo mwakani tena anatuonyesha picha hii hii....ajitahidi mwakani awe amekamilisha kila kitu......
nyumba ya mhindi kapewa tenda aisimamie ikikamiloka anapewa chake anasepa kawashika sana wajinga
isije kua kama ile ya diamond mwaka wa 8 sasa inajengwa swimming pool
Msanii wa mikato ya bongo fleva juma-jux,kupitia account yake ya mtandao wa kijamii uitwao instagram ameweka picha inayoonesha mjengo wake mpya...
Swali langu; kumbe siku hizi mziki wa bongo unalipa kiasi iki?
Picha iko hapa chini
Jux mbona hajasema hiyo nyumba ni yake au hamjaelewa hiyo caption? Najua wengi ni asante mkapa basi muwe mnatuuliza sisi tulopitaga english medium ili msije kuaibika.
nyumba ya mhindi kapewa tenda aisimamie ikikamiloka anapewa chake anasepa kawashika sana wajinga