Msanii Keisha sasa awa MNEC wa CCM

Is still ni msanii huyu kwani? Mara ya mwisho kutoa wimbo ilikua lini?
 
Kitu kikubwa ninachomkumbuka ni kumuita mwanae Jamkei
 
Mkuu Keisha amekua mjumbe wa Kamati Kuu,
Yaani kwa sasa Keisha ni miongoni mwa watu 24 wenye nguvu zaidi ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…