Tarehe 15 alikuwa anataka kufunguka zaidi kuhusu ruge na kusaga wala si tarehe ya show yake, show yake ni tarahe 30.
Na hapa RUGE anachotaka ni restrain order kutoka mahakamani ambayo itamfanya jyde asiendelee kufunguka zaidi.
Na kama amefungua case ni kuhusu defamation lakini asisahau na yeye alitumia chombo chake cha habari.
Nia yake ni kumziba komando jyde mdomo lakini sidhani kama ataweza.
Daa Ruge kumbe battle hawezi kabisa.