Msanii Linex anayedaiwa deni Kibona Hotel awatukana Watangazaji wa SHILAWADU tusi hili....

Soudy brown dume zima linajificha uso kisa anajua ukweli kabisa kuwa wanaume hatupendagi usnichi, unoko wala umbeya, Kama anaona anachofanya ni sahihi kwanini anajifichaficha...Snitches get stitches ashukuru katukanwa..Hicho kipindi ho
 
We n ke au me maan unaingilia vitu ambavyo havikuhusu

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 

Tangia uliponifumania ' nampakuwa ' kama App ' Mazeri ' wako tena 0713 umekuwa ukinichukia sana Mkuu. Siyo Kosa langu bali ' Bibie ' anapenda sana ' nikimtambalizia ' Mkuyenge wangu huko na Mimi bila ' hiyana ' huwa nampelekea wote hadi breki za P.
 
Mbona alama za funga semi na fungua semi nyingi sana kwenye post yako?
 
Masikini msanii wetu pendwa wa nyimbo nzuri kama mama halima. Aifora. Moyo wa subira ndo kichwa chake kimeishiwa hivi dah

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nanyie shilawadu wahojini pembeni kwanza ndo mrushe kwani iko siku atajatukanwa prezdar mtajuta

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona alama za funga semi na fungua semi nyingi sana kwenye post yako?

Unapokuwa kwa mfano ' unambandua ' Demu mwenye ' uvuzi ' mwingi pale Wewe lengo lako huwa ni kupata tu ule ' Utamu ' wake uliotukuka au kulijua ' pori ' lake tengefu a.k.a Vuzi?
 
Nanyie shilawadu wahojini pembeni kwanza ndo mrushe kwani iko siku atajatukanwa prezdar mtajuta

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Kwa kuwatukana Watangazaji hao wa SHILAWADU huku akijua pia kuwa wanatizamwa na kusikilizwa pia na sisi unadhani hapo hadi ' Prezidaa / Taita ' nae hilo ' tusi ' halijamhusu?
 
Muhudumu ongeza glasss, oooh muhudumu ongeza kasiii [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Huyo nae anaham na ruge
Haon hata mapacha 3 na rubby,wanavyokula msoto

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hilo tusi pendwa limfikie Sizonje kokote alipo, limliwaze na limfanye awe msenge kweli.
 
Usiwapangie TCRA
 
Kkkk! kwamba hata wewe Mtazamaji umetukanwa!!! Kkkk! hatari sana!
 
Wanadaresalama

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
LineX Mstarabu Sana Ingekuwa Mimi I think Kesho Ndinga Iko Mlangoni Inanisubiri My Life Usinipangie Mkinipigia Hilo Deni Litafutika

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…