Msanii Linex anayedaiwa deni Kibona Hotel awatukana Watangazaji wa SHILAWADU tusi hili....

Kwa kipindi kama hicho ni kawaida sana kukutana na challenge za namna hiyo... si bora ya sisi watanzania tuna staha kidogo...

cc: mahondaw
 
Hata we umetukana umesema wapumbavu hivyo mko sawa tu na linex

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada nawewe unamata tizo makubwa unapaswa kuchukuliwa hatua kali unatukanaje matusi hadharani umesema "wapumbavu"huoni kama umetukana unatofautiana nini na linex?wa tz bwana kaz kwelikeli

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
mtoa mada sio rizki wakongwe jf tunamfahamu.

Asante na nitukaneni tu kwani Mimi GENTAMYCINE nikisema nirudishie ' mnakimbilia ' upesi kwa akina Paw na JamiiForums na Moderators wengine ' kunilaumu ' na kutaka nipigwe ' BAN '. Tokea juzi niliahidi kuwa sitomtukana Mtu wala kutoa ' Kashfa ' yoyote kwa Member yoyote humu JF ila nyie nawaruhusu tu ' mnitukane ' mtakavyo na nawaachia hao ' Watajwa ' hapo juu kuchukua ' maamuzi ' ya Kisheria na Kikanuni ambazo JF imejiwekea.

Kila la kheri.
 
Mtoa mada nawewe unamata tizo makubwa unapaswa kuchukuliwa hatua kali unatukanaje matusi hadharani umesema "wapumbavu"huoni kama umetukana unatofautiana nini na linex?wa tz bwana kaz kwelikeli

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Pumbavu siyo tusi na ndiyo maana hata katika Kitabu ' Kitakatifu ' cha Biblia hilo neno Mwenyezi Mungu amelitumia mara 21 huku neno Mjinga akilitumia mara 9. Yawezekana tatizo kubwa ambalo kweli ninalo na nashindwa kulitatua ni Mimi kuwa na ' akili ' nyingi sana kuliko Wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…