Msanii Linex katapeliwa Sh. 11 millions, Steve Nyerere ahusishwa kwa utapeli

Msanii Linex katapeliwa Sh. 11 millions, Steve Nyerere ahusishwa kwa utapeli

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na huyo Minyamihela ili aweze kumnunulia gari.

Baada ya kupewa gar Linex alilitumia kwa muda wa siku mbili ndipo huyo Minyamihela kuja kulichukua akimuahid atampatia gari jingine, lakini toka huo mwezi wa kwanza hadi leo Linex hajapewa gari lake na wala jamaa(Minyamihela) hajarudisha hizo pesa na kibaya zaidi jamaa hapokei simu ya Linex.

Linex anaomba ushauri afanyaje?

Source:http://instagram.com/p/veX2E0Gut3/
 
Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na huyo Minyamihela ili aweze kumnunulia gari. Baada ya kupewa gar Linex alilitumia kwa muda wa siku mbili ndipo huyo Minyamihela kuja kulichukua akimuahid atampatia gari jingine, lakini toka huo mwezi wa kwanza hadi leo Linex hajapewa gari lake na wala jamaa(Minyamihela) hajarudisha hizo pesa na kibaya zaidi jamaa hapokei simu ya Linex. Linex anaomba ushauri afanyaje?
Source:http://instagram.com/p/veX2E0Gut3/

Samahani mkuu ,jina lako nani?
 
Nimeamini wajinga hawaishi, kukaa kote Dar hajui yard ziko wapi.!
 
Sasa kama Steve Nyerere kamuunganisha nae kosa lake nini steve? magari sikuizi mpaka online unanunua kama za bongo hazitaki..
 
Kama waliuziana kihalali halafu wakaazimana kirafiki kimekula kwake;
Hata ukoo wa NYERERE wapo wahuni kama huyo uliyemtaja.
 
Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na huyo Minyamihela ili aweze kumnunulia gari.

Baada ya kupewa gar Linex alilitumia kwa muda wa siku mbili ndipo huyo Minyamihela kuja kulichukua akimuahid atampatia gari jingine, lakini toka huo mwezi wa kwanza hadi leo Linex hajapewa gari lake na wala jamaa(Minyamihela) hajarudisha hizo pesa na kibaya zaidi jamaa hapokei simu ya Linex.

Linex anaomba ushauri afanyaje?

Source:Instagram

Mkuu#..... tuambie kwanza ni aina gani ya gari ili tuweze kumsaidia, ila hilo jina lako badili bhana sio ujanja kuitwa dot dot
 
Steve ndo alikiwa dalali ...ha ha ha
Kajamaa katapeli sana ..
Na wewe sunday acha ushamba!!
 
Last edited by a moderator:
HAhahahhaha jamani msimlaumu huyu jamaa anapotoka ni pori la hatari, kasulu hahahaha daahh ni tatizooo...
 
Linex asilete habari yake Meneja wake si alikuwa huyo Minyamihela huyo dalali wa magari .
 
acha atolewe ushamba maan mkigoma bila kumwibia akomi, hata Diamond wakati anauza mitumba aliibiwa sana anauzima marobota yalichakachuliwa (Madaso)
 
Back
Top Bottom