Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na huyo Minyamihela ili aweze kumnunulia gari. Baada ya kupewa gar Linex alilitumia kwa muda wa siku mbili ndipo huyo Minyamihela kuja kulichukua akimuahid atampatia gari jingine, lakini toka huo mwezi wa kwanza hadi leo Linex hajapewa gari lake na wala jamaa(Minyamihela) hajarudisha hizo pesa na kibaya zaidi jamaa hapokei simu ya Linex. Linex anaomba ushauri afanyaje?
Source:http://instagram.com/p/veX2E0Gut3/
hajazaliwa kulipa ubaya kwa ubaya
Samahani mkuu ,jina lako nani?
Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na huyo Minyamihela ili aweze kumnunulia gari.
Baada ya kupewa gar Linex alilitumia kwa muda wa siku mbili ndipo huyo Minyamihela kuja kulichukua akimuahid atampatia gari jingine, lakini toka huo mwezi wa kwanza hadi leo Linex hajapewa gari lake na wala jamaa(Minyamihela) hajarudisha hizo pesa na kibaya zaidi jamaa hapokei simu ya Linex.
Linex anaomba ushauri afanyaje?
Source:Instagram
Mshamba wa kiha
Amezaliwa kulipa wema kwa ubaya