Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
Hiki ndo nnachokupendea Mwalimu......hakuna kulalama kama wengine we unatoa ushauri tuu!! ivi tatizo la hiyo bra ni rangi ama?:violin:

bra haijalitendea haki kilichoko chini yake........badala ya kukionyesha kwa uzuri na ujazo wake uliopewa, limekigandamiza na kuwa out of shape :confused2:

sio silalamiki ................ukitaka kufanya kitu fanya kwa ukamilifu wake (kama kataka kuvua nguo mbele za watu, basi angalau awe amependeza)
 
Kamata hii hapa mwalimu kwa afya yangu.....
The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

Kimey (Today)
 
Hiki ndo nnachokupendea Mwalimu......hakuna kulalama kama :violin:wengine we unatoa ushauri tuu!! ivi tatizo la hiyo bra ni rangi ama?

wewe nawe umenifanya nmechka mpaka kupaliwa...hivi binti kama yeye hujaona tatizo la hiyo bra yake?
 
..nyamayao huyu kimey ananifanya sasa nitoe maelezo mengi wakati alikuwa agundue tu kwa macho.
 
Inaelekea huo ukumbi una joto sna au alikuwa anatumia Konyagi!!:becky::becky:
 

Bado kitambo kidogo sana tena kidogo sana mabinti zetu watatembea UCHI kabisa hasa nyakati za usiku. Sitaki kuamini kwamba huyu binti alitoka nyumbani kwa wazazi/walezi wake akiwa amevaa hivi na wakamwacha akazurule usiku kucha. Ee mwenyezi MUNGU tuepushie laana hii
 

Well said......
Ni kumuomba Mungu sana tu!
 
muda huo alitakiwa awe home anafanya homework au kalala!
kumbe ni yatima!
 
hiyo klabu aliyoingia masharti ni kuacha nguo mlangoni/getini? Mbona kama hajaenda na nguo!

hapana mkuu,hayo si masharti ya club,ndizo nguo alizotoka nazo home,tena akawaaga mama na babaye kuwa anaenda weekend! Yaani alivaa kitambaa mithili ya nepi ya mtoto kwa chini,juu sindilia na mtandio...inatisha eti?
 
cheusimangala,
Yote tisa, tisa kumi hiyo Avatar yako.....
 

Kazi kweli kweli!!!!! ndio kipaji cha uigizaji kinakufa taratibuuuu!!!
 




Yesu wangu!

Hivi kukaa uchi ndo fasion hv sasa? Tumbo lenyewe minya uzembe teleeee!
 
Jamani hapa ni Bilicanas sio San Ciro walianzia kulewa San Ciro wakaja Bilicanas, nilipoona kazidiwa na kilevi kama mwanamke nikamwambia nitakulipia taxi nenda nyumbani akakataa eti hajalewa baadaye wakamwokoa vijana flani sijui jirani zake kutoka mikononi mwa muhindi aliekuwa anamnunulia pombe aondoke nae.

Hapo hatuna mtoto ni changudoa mtarajiwa.
 
Double D ................tunashukuru na kukupongeza kwa kutimiza wajibu wako kwa jamii.
 

Asante kwa maelezo Diana. Na alikuwa hapo peke yake tu yaani hakuwa na company ka rafiki hivi, dada au kaka? Ni huyo mhindi tu?
 
Asante kwa maelezo Diana.Na alikuwa hapo peke yake tu yaani hakuwa na company ka rafiki hivi,dada au kaka?ni huyo mhindi tu?

Mara ya kwanza niliona wakiwa na kisichana kingine naona muhindi alikipa hela kile kingine kipotee humo ndani aweze kuondoka na binti kiulaini, na hakuwa uchi kweli chini aliva kikaptura lakini hiyo nguo ya juu inapanuka na kuziba mabega.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…