Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Yvan buravan.jpg

Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho.

Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu.

Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya hapo alifanya kazi nyingi ikiwemo ya Just a Dance (Remix) aliyoshirikiana na AY wa Tanzania.

------------------

Rwandan singer Yvan Buravan dies from cancer aged 27

Rwandan singer-songwriter Yvan Buravan has died aged 27, his manager told the BBC

The singer had been diagnosed with pancreatic cancer and was undergoing treatment in India.

He had previously been treated in Rwanda and Kenya before his transfer to India.

Buravan's music talent got noticed at the age of 14 when he finished second in a national music competition.

His 2016 hit song Malaika ushered him to stardom in Rwanda.

In 2018 he won Prix Découvertes - one of Africa's biggest music contest organised by RFI and Unesco.

Many Rwandans on social media are mourning his death.

Source: BBC
 
Daa jamaa anajua sana
 
Rwanda murabuze intwari mumuziki no mugasibanuye [emoji24][emoji24]
R. I. P
 
Back
Top Bottom