mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Kishindo mbona sijakisikia na nilikuwa macho
Mkuu Mike T wa sasa sio yule wa zamani hiyo ngoma haitomfikisha popote kwani ipo kawaida sana.Hebu tujikumbushe hizi hit songs za mnyalu miaka ile;
1.Nampenda ft. Nature
2.Nyaluland ft.Jide
3.Nibeep
4.Kama
5.Sintobadilika ft Q Chillah
6.Sintobadilika remix ft. Dully Sykes
huyo ndie aliyeimba ule wimbo nakuhitaji?lol hajastaafu tu?lol
No 5 balaa
Umesahau Je Utanipenda, idea iliyorudiwa na DiamondMkuu Mike T wa sasa sio yule wa zamani hiyo ngoma haitomfikisha popote kwani ipo kawaida sana.Hebu tujikumbushe hizi hit songs za mnyalu miaka ile;
1.Nampenda ft. Nature
2.Nyaluland ft.Jide
3.Nibeep
4.Kama
5.Sintobadilika ft Q Chillah
6.Sintobadilika remix ft. Dully Sykes
Hapakuwahi kuwa na msanii maarufu wa muziki kwa jina la Mack T hapa TanzaniaLeo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mack T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana.
Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli huyu, nampongeza kwa kazi Hii nzuri na Classic chini ya upishi wa Maco Chali.
Mike Tee feat Chege Chigunda_Umekutaga
Hapakuwahi kuwa na msanii maarufu wa muziki kwa jina la Mack T hapa Tanzania
hii ngoma hatari sanaUmesahau Je Utanipenda, idea iliyorudiwa na Diamond
Umesahau Je Utanipenda, idea iliyorudiwa na Diamond
hii ngoma hatari sana
bila kusahau na hii nayo jamaa alikuwa anajua
50 aliiba jamaa alianza huyuHivi kipi kilianza Kati ya 21 questions na Je Utanipenda?
Hiyo namba 4 kama unayo pls iweke hapa....Ni bonge moja la NgomaMkuu Mike T wa sasa sio yule wa zamani hiyo ngoma haitomfikisha popote kwani ipo kawaida sana.Hebu tujikumbushe hizi hit songs za mnyalu miaka ile;
1.Nampenda ft. Nature
2.Nyaluland ft.Jide
3.Nibeep
4.Kama
5.Sintobadilika ft Q Chillah
6.Sintobadilika remix ft. Dully Sykes
Huyo aliitwa CAZ T mtoto wa kombahuyo ndie aliyeimba ule wimbo nakuhitaji?lol hajastaafu tu?lol