Msanii Mack T amerudi kwa kishindo

Yeah I think you know good music dude hiyo namba 4 Ni hatari Sana
Kama mike t ningekuwa star
Kama ningekuwa Na mkwanja kachaa
Dah wacha kabisa mkono wa Mdachi .
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]

Mdachi alikua anapika midundo mitamu yenye ujazo....
 
Nyimbo hii haiwezi leta ushindani kwenye game kwa sasa, jipange Mnyalu wa Mwakaleli..

 
Huu wimbo si m'baya wala sio mzuri kivile,ila kwavile alipotea hii ni kama anatukumbusha kuwa nipo,kisha ndio atoe goma la kueleweka.


Hili goma naimani utakua muendelezo wa nyimbo Kali za Mnyalu.
 
ni ngumu sana kurudi kama zaman,,huu wimbo wake hautafika mbali sana kwa kizazi cha wasanii wakina diamond,darassa,ally k,,
 
ni ngumu sana kurudi kama zaman,,huup wimbo wake hautafika mbali sana kwa kizazi cha wasanii wakina diamond,darassa,ally k,,

Endelea kuipa muda na isikilize tena na tena ngoma kubwa hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…